Mwamvita makamba biography of william
Mwamvita makamba biography of william blake.
Mwamvita makamba biography of william
Mwamvita Makamba
Mwamvita Makamba | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Kazi yake | mwanaharakati |
Mwamvita Makamba ni mwanamkeMtanzania mwenye ujuzi katika sekta ya mawasiliano ya simu katika masoko na kuwa na ufahamu wa karibu unaohitajika kuendesha kampuni katika ustawi na pia kudumisha uwajibikaji wake kwa jamii.
Elimu yake
[hariri | hariri chanzo]Mwamvita alisoma shule nyingi mahali tofauti nchini Tanzania kwani baba yake alikuwa mtumishi wa umma, hivyo ilimpasa kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine mara kwa mara.
Katika elimu yake ya msingi alisoma Handeni, Lushoto na Morogoro. Alipohitimu elimu yake ya msingi alijiunga na shule ya sekondari ya wasichana Kifungilo girls kwa kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.
Baadae alijiunga na shule ya sekondari ya wasichana Kilakala mkoani Morogoro.
Katika shule ya Kilakala alisoma kwa muda mfupi mpaka alipokuja kujiunga na shule ya sekondari Shaaban Robert huko jijini Dar es Salaam mpaka alipohitimu elimu ya sekonda